NEWS

BLOG

NEWS

Saturday, February 2, 2013

young african sport club vs mtibwa sugar leo katika uwanja wa taifa dar es salaam,mechi hiyo i likuwa si rahisi kati ya young african vs mtibwa sugar leo hii iliyo cheza muda wa saa 4:00,magoli hayo yalifungwa na KISIGA wa mtibwa sugar na HAMIS KIIZA,timu zote zikitoka sare  ya 1-1.

Sunday, January 27, 2013

Taarifa ya michezo kutoka Tanzania Dar-es-salaam

Taarifa ya michezo kutoka Tanzania Dar-es-salaam,leo Young African Sport Club ime endelea na ubabe wake wa magoli hatari sana katika u wanja wa Dar-es-salaam  young african sport club imeshinda magoli 3-1leo hii,magoli hayo ya kifungwa na Jerry Tegete na Simon Msuva,tazameni picha hapo chini........