TIMU YA YOUNG AFRICAN SPORT CLUB LEO IME WAFUNGA AFRCAN LYON KATIKA UWANJA WA TAIFA,MSHAMBULIA JERRY TEGETE LEO KATIKA UWANJA WA TAIFA KAFUNGA MAWILI PEKEEYAKE WAKATI YONG AFRICAN IKIUWA 4-0....

katika hii picha za taifa stars wakiwa wakijiandaa na mazoezi katika uwanja uliopo dar-es-salaam,wachezaji wote wapo MRISHO KHALFAN NGASSA,MBWANA ALLY SAMATA,THOMAS ULIMWENGU,na wengine.

young african sport club vs mtibwa sugar leo katika uwanja wa taifa dar es salaam,mechi hiyo i likuwa si rahisi kati ya young african vs mtibwa sugar leo hii iliyo cheza muda wa saa 4:00,magoli hayo yalifungwa na KISIGA wa mtibwa sugar na HAMIS KIIZA,timu zote zikitoka sare ya 1-1.